Mwongozo wa Mafunzo

$75.00

Mwongozo wa mafunzo huu una madhumuni matano:

·      Kutoa mafunzo kwa viongozi wa huduma kuhusu ufuasi wa Kristo

·      Kuhamasisha viongozi wa kawaida wa kanisa kusimamia mchakato wa ufuasi ndani ya kanisa

·      Kutoa mafunzo juu ya jinsi ya kuandaa njia rahisi ya kusimulia hadithi ya imani

·      Kutoa mafunzo ya jinsi ya kuwezesha ufuasi wa Kristo katika vikundi vidogo

·      Kuhamasisha, kuandaa na kuwaachilia wafuasi wa Kristo popote walipo kuwa kuwa wanafunzi wanaowafundisha wengine kuwa wanafunzi wa Kristo.

Mwongozo huu una wasilisho la PowerPoint linaloambatana nalo. Ili kuulizia punguzo kwa ununuzi wa nakala nyingi au kupanga tukio la mafunzo, tafadhali tuma barua pepe kwa info@foundations4living.ca.